TIGO YAFANIKISHA HAFLA YA MABLOGGER DAR


Baadhi ya wamiliki wa Mitandao ya Kijamii (BLOGGERS), wakishindana kucheza muziki kuwania Ipad na simu wakati wa hafla waliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo jana kwenye Hoteli ya New Africa, Dar es Salaam.
Mmiliki wa Kajuna Blog, akikabidhiwa zawadi ya IPAD, na Ofisa wa Biashara na masoko wa Tigo, Gaudance Mushi (kulia) baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa kucheza muziki katika hafla hiyo.
Blogger mwanamke aliyeshinda kucheza muziki akipatiwa zawadi ya Ipad mpya
Mablogger wanawake wakishindana kucheza muziki katika hafla hiyo
Mmiliki wa Blogu ya Kamanda wa Matukio, Kamanda Richard Mwaikenda (aliyevaa shati la drafti kushoto) akiwa na mabloga wenzake wakishuhudia mpambano huo

Mablogger, Kutoka kushoto ni Adam Mzee (CCM Blog), William Malecela (Wananchi Blog) na John Bukuku wa Fullshangwe Blog wakiwa na furaha wakati wa hafla hiyo.
Mhariri wa gazeti la Michezo la StaaSpoti, Julius Kihampa (kushoto) akiwa na John Kitime (katikati) pamoja na
Mmiliki wa Blog ya Habari Mseto, Francis Dande (katikati) akiwa na mablogger wengine.
Mablogger wakibadilishana mawazo pamoja na maofisa wa Tigo
Tanzanite Band ikitumbuiza katika hafla hiyo ya kukata na shoka
Mablogger wakisikiliza wakati mtoa mada Raymond Maganga akielezea jinsi ya kuboresha Blog kibiashara
Boss wa kampuni ya DeSiaMore I.T & Arts, Raymond Maganga (kushoto), akitoa mada ya jinsi ya kuboresha Blog.
Boss wa kampuni ya DeSiaMore I.T & Arts, Raymond Maganga (kushoto) na Emmanuel Feruz ambaye ni Google Student Ambassador wa IFM, wakifurahia jambo wakati wa hafla hiyo.
Akina dada mablogger wakishindana kucheza muziki


Blogger wa kike akipatiwa zawadi ya simu baada ya kuwa mshindi wa pili
Mablogger wanaume wakishindana vikali kucheza muziki kuwania zawadi za IPAD na Simu
Naye Blogger huyu hakuwa nyumba katika pambano hilo
Kajuna akiwa katika miondoko mikali
Jamson akisakata muziki alipokuwa akishindana na Kajuna fainali shindano hilo
Jamson (kushoto)akizawadiwa simu baada ya kuwa mshindi wa pili kusakata muziki kwa upande wa mablogger wa kiume

0 comments: