JAMALI KAROLI AKIWA NA MTOTO WAKE IDRISA JAMALI KATIKA WD YA SIWAHAJI.

Jamali Karoli akifurahi na Mwanae Idrisa Jamali (mwaka1)Akiwakatika wd ya  Taasisi ya Mifupa MOI,Ni baada ya kupata ulemavu wa kukatwa mguu wa kushoto kutokana na kukurupushwa na askari akiwa amelala na wenzake ufukweni mwa bahari ya Hindi katika msako wa wahalifu uliofanywa hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Msako ambao uliongozwa na Askari Manyama,Ambapo yalipigwa mabom matatu  na kumsababishia jamali kutoka katika mtaro wa maji kujiburuza kutoka nje ya mtaro nakukimbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Matibabu zaidi.(PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 comments: