![]() |
| Bibi harusi mtarajiwa Mwanaid (kulia), akiwa na mpambe Sharifa Mzava. |
![]() |
| Mwanaid na mpambe wake wakiwa katika pozi la kukata na shoka |
![]() |
| Mwanaid (kushoto) akiwa katika vazi la kitenge na mpambe wake |
![]() |
| Hapa akiwa na mpambe wake hakika wamependeza |
![]() |
| Hapa akiwa na rafiki zake na mpambe |
![]() |
| Sehemu ya ukumbi ulivyokuwa ukionekana baada ya kupambwa |
![]() |
| Hapa bibi harusi mtarajiwa na mpambe wake wakipunga mikono kuwasalimia wageni waalikwa. |
![]() |
| Shangazi wa Mwanaid akiomba dua katika hafla hiyo |
![]() |
| Dada ya bibi harusi ambaye alikuwa mwenyekiti wa hafla hiyo akitoa neno la shukurani |
![]() |
| Bibi harusi mtarajiwa akijambulisha kwa wageni waalikwa |
![]() |
| Mama mzazi wa Mwanaid Mwalim Elizabety akitambulishwa na Mwanae katika sherehe hiyo |
| Dada zake Mwanaid wakitambulishwa mbele ya wageni waakikwa. |
![]() |
| Waalim wa Shule ya Msingi Kiwalani wakitambulishwa mbele ya wageni waalikwa. |
![]() |
| Mwanaidi Akifungua Shampeni Kwenye Sherehe yake hiyo. |















0 comments: