![]() |
| Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiongoza Magari jana Dar es Salaam , Barabara ya Faya na Msimbazi.Ambapo Magari yalisababisha foleni kubwa na Ndipo iliwalazim kuyaongoza Magari hayo. |
![]() |
| Kijana akijiandaa kuruka akiwa katika ukuta wa uzio wa fery kigamboni jana Dar es Salaam, |
h |
| Hapa Kijana akiwa Ameruka toka katika ukuta wa uzio wa fery kigamboni jana Dar es Salaam,Ambapo Eneo hilo kuna bango Lililoandikwa Onyo . |



h
0 comments: