Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) Dkt. Diwani Msemo, akiongoza kikao na wawakilishi wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) kupitia Institute of Isotopes Co. Ltd. ya Hungary pamoja na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) cha kujadili taratibu za usafirishaji wa mabaki ya vyanzo vya mionzi vilivyotumika katika matibabu ya saratani.
Gábor Kaszás kutoka Institute of Isotopes Co. Ltd. ya nchini Hungary akichangia mada katika kikao cha majadiliano kuhusu taratibu za usafirishaji salama wa mabaki ya vyanzo vya mionzi vilivyotumika katika Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCi kwa ajili ya matibabu ya saratani.
Wataalamu kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) wakifuatilia kwa makini majadiliano wakati wa kikao cha kujadili taratibu za usafirishaji salama wa mabaki ya vyanzo vya mionzi vilivyotumika katika matibabu ya saratani.





0 comments: