Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto
Kabwe, akizungumza na watoto walemavu wenye albinism,walemavu wa macho
na viziwi waliopo kwenye kituo cha kuwahifadhi cha Buhanginja Mkoani
Shinyanga.
Mwalimu wa kituo cha Shule maalum kwa
watoto walemavu wenye albinism, walemavu wa macho na viziwi waliopo
kwenye kituo cha kuwahifadhi cha Buhanginja Mkoani Shinyanga, Peter
Francis, akiwapa maelezo ya kituo hicho viongozi wa ACT-Wazalendo
walipofanya ziara kwenye kituo hicho sehemu wanazo lala watoto.
Picha na Said Powa
Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na mmoja wa watoto hao
No comments:
Post a Comment