Saturday, April 18, 2015

ZITTO AHUTUBIA WEKAZI WA SHINYANGA


02
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wakazi wa Manispaa ya Shinyanga na vitongoji yake mjini haa
01
Wakazi wa Mji wa Shinyanga wakishangilia viongozi wa chama cha ACT -Walipopanda jukwaani leo mchana.00
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akimsikiliza Mzee Katabanya Shija kutoka eneo la Ilola Kijiji cha Didia jimbo la Solwa Manispaa ya Shinya jana weakati chama hicho kilipofungua tawi la chama kijijini hapo.

No comments:

Post a Comment