Saturday, April 18, 2015

MSIBA NYEREGETE : MZEE JULIO BAMADHAN MJENGWA (SHEHE NUHU)

Ndugu zangu,
Msiba umetokea jana usiku, kwa mmoja wa wazee wetu kwenye ukoo wa Mjengwa. Ni Mzee Julio Ramadhan Mjengwa, alijulikana zaidi kama Shehe Nuhu. Ni wa kwanza kulia pichani.
Amefariki jana usiku. Mazishi yatafanyika leo kijijini kwetu Nyeregete.
Taarifa hizi ziwafikie pia wanaukoo wote wa Mjengwa.
Maggid,
Iringa

No comments:

Post a Comment