WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA NA MAWAZIRI WATOA POLE KWA RAIS SAMIA

 

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, pamoja na Mawaziri, wakimfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani kwake Kizimkazi, Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba 2026, kufuatia kifo cha mume wake, Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia tarehe 7 Septemba 2026.






0 comments: