. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemjulia hali, Mama Fatma Karume,Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Lumumba Zanzibar.MAKAMU WA RAIS DKT. NCHIMBI AMJULIA HALI MJANE WA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:36 PM
. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemjulia hali, Mama Fatma Karume,Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Lumumba Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments: