TANZIA

 Familia ya Mussa Bilali inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa, Mariam Khamisi Bainga kilicho tokea Machi 6, 2018, maeneo ya Kitongoji cha Mkokozi Mkoani Mpwani, mazishi yatafanyika 7 machi, 2018. katika kitongoji hicho, habari ziwafikie familia ya Juma Ibrahim Mtale, familia ya Mzee Sudd Kiembe, familia ya mzee Hassani Kiemo ya Kigalye, familia ya Mzee Ahmadi Swedi Miharo na ndugu na jamaa popote pale walipo.
Pichani ni mmoja wa mtoto wa marehemu Khamisi Mussa Bilali

0 comments: