 |
Waziri
wa habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe
akimsikiliza kulia Msanii wa bongo Fleva kutoka Tanzania Ibrahim Musa
aka Roma Mkatoliki akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa
habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jioni hii wakati
akizungumzia sakata la kutekwa kwake paoja na wasanii wenzake katika
studio ya Tongwe iliyopo Masaki jijini Dar es salaam |
 |
Msanii
wa bongo Fleva kutoka Tanzania Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki
akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari
Maelezo jioni hii wakati akizungumzia sakata la kutekwa kwake pamoja na
wasanii wenzake katika studio ya Tongwe Records iliyopo Masaki jijini
Dar es salaam, Roma ameiomba serikali kuwahakikishia ulinzi wasanii
pamoja na watanzania kwa ujumla kwakuwa inaonesha hawana usalama kabisa
kutokana na tukio lenyewe lilivyowatokea , kushoto ni Waziri wa habari ,
Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe. |
Roma Mkatoliki akifafanua zaidi kwa waandishi wa Habari
Roma
akiwaonesha wana habari namna alivyojeruhiwa aliokuwa akiteswa na hao
watekaji ambao mpaka sasa hawajajulikana ni akina nani,kufuatia
Uchunguzi wa tukio hilo ukiendelea.
Waziri
wa habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe
akimsikiliza kulia Msanii wa bongo Fleva kutoka Tanzania Ibrahim Musa
aka Roma Mkatoliki akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa
Idara ya Habari Maelezo jioni hii wakati akizungumzia sakata la kutekwa
kwake paoja na wasanii wenzake katika studio ya Tongwe iliyopo Masaki
jijini Dar es salaam, Roma ameiomba serikali kuwahakikishia ulinzi
wasanii pamoja na watanzania kwa ujula kwakuwa inaoyesha hawana usalama
kabisa kutokana na tukio lenyewe lilivyowatokea. Kushoto ni Mke wa wa
Msanii huyo, Bi Nancy.
Baadhi
ya Wana Habari wakimsubiri msanii wa Muziki wa Kizazi kipya ajulikanae
kwa jina la Roma Mkatoliki kuja kuzungumza nao na kuwaeleza
kilichowatokea
Baadhi ya Wana habari wakifuatilia tukio hilo 
Waziri
wa habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe
akimsikiliza kulia Msanii wa bongo Fleva kutoka Tanzania Ibrahim Musa
aka Roma Mkatoliki akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa
habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jioni hii wakati
akizungumzia sakata la kutekwa kwake paoja na wasanii wenzake katika
studio ya Tongwe iliyopo Masaki jijini Dar es salaam
Mke
wa Roma Mkatoliki Nancy (mwenye kilemba cha bluu) pamoja na baadhi ya
wasanii wakisubiri kuanza kwa mkutano huo wakati Msanii huyo akijiandaa
kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la kutekwa kwake kulia
ni Waziri wa Habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson
Mwakyembe.
Waziri
wa habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe
akiongozana na wasanii Roma Mkatoliki na wenzake ili kuzungumzia sakata
la Roma Mkatoliki lililotokea hivi karibuni.
0 comments: