![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote Ikulu jijini Dar es Salaam |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika kikao cha pamoja na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji
cha Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote aliyeambatana na ujumbe wake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kumaliza kwa kikao chao Ikulu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo
Mtwara Alhaji Aliko Dangote akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
|
![]() |
. Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote
kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote akizungumza mara baada ya kumaliza
mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo
Mtwara Alhaji Aliko Dangote Ikulu jijini Dar es Salaam.

| Rais Dk Magufuli akiagana na Dangote baada ya mazungumzo yao (PICHA NA IKULU) |

0 comments: