Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu kuwa kaimu Jaji Mkuu wa
Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na
Ikulu.] 01/12/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimkabidhi hati ya kiapo Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu baada ya
kumuapisha kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika
leo Ikulu Mjini Unguja
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipeana mkono na Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu baada ya kumkabidhi hati
ya kiapo alipomuapisha kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla
iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
Viongozi
waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu
kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar (kutoka kushoto) Spika wa Baraza la
Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman
na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, hafla iliyofanyika leo
Ikulu Mjini Unguja
Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi (kulia)
akimpongeza Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu kwa kuteuliwa kwake kuwa kaimu
Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla ya kiapo iliyofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali (P.T)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: