
WAZIRI NAPE AMJULIA HALI MKUU WA MKOA WA TANGA, MARTINE SHIGELLA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 11:24 AM
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimjulia hali Mkuu
wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shigela aliyelazwa katika wodi ya Sewahaji
Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Kwa taarifa zilizopo hali ya
Mhe. Shigela inaendelea vizuri.(PICHA NA
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI WHUSM)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: