JIWE KUBWA LILILOKO ANGANI HATARI KWA SAYARI YA DUNIA



Wanasayansi kutuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Sayari ya Dunia mwaka 2135.
Jiwe hilo limepewa jina la BENNU lina ukubwa wa kipenyo cha mita 500 yaani urefu wa viwanja vitano vya mpira, endap litaigonga dunia mlipuko wake ni sawa na tani bilioni tatu za milipuko au sawa na mabomu 200 ya nyuklia.

0 comments: