MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA WATENDAJI WAKE KUSAMBAZA MAPIPA YAKUEKEA TAKATAKA KATIKA BARABARA YA KIVUKONI DSM
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:45 AM
Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema katikati
akiongozana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Bw.Msongela Palela kushoto
pamoja na Edward Mpogolo Katibu Tawala wa wilaya hiyo weka mapipa ya kuhifadhia
takataka katika barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam.
Mkuu wa wilaya ya Illala Mh. Sophia Mjema
akiongozana akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala juu ya mpangilio
wa uwekaji wa mapipa ya kuhifadhia takataka kwenye barabara ya Kivukoni jijini
Dar es salaam jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: