MGODI WA BUZWAGI WAKABIDHI MADAWATI 4,494 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 548 KUSAIDIANSHULE ZA MKOANI SHINYANGA

  Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi Zainab Telack, (kushoto) akikata utepe kuashiria kupokea madawati 4,494 kutoka kwa uongozi wa Mgodi wa Buzwagi, anaekabidhi ni Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Mhandisi Asa Mwaipopo. Madawati hayo ni kwa ajili ya Shule za sekondari na msingi mkoani Shinyanga

Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia kupitia Mgodi wake wa Buzwagi umekabidhi madawati 4494 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 548 kwa ajili ya shule za sekondari na msingi za mkoa wa Shinyanga.Mwandishi wetu Kadama Malunde,anaripoti.

0 comments: