KITENGO CHA SELIMUNDO”SICKLE CELL”HOSPITALI YA MUHIMBILI CHAPOKEA MSAADA WA SIMU 130 TOKA VODACOM TANZANIA

 Balozi wa Ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell” wa hospitali ya Taifa Muhimbili, Khadija Abdallah (kushoto), Mkuu wa kitengo cha Vodacom Tanzania Foundation, Renatus Rwehikiza (katikati) wakimsikiliza mtafiti wa magonjwa ya binadamu wa muhimbili University, Dkt.Mariam Ngaeje alipokuwa akiongea na waandishi wa habari (hawapo picha) wakati wa hafla ya kupokea simu 130 zilizotolewa msaada na Vodacom Tanzania Foundation kwa ajili ya utafiti wa utumiaji wa dawa za ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell” Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa kitengo cha Vodacom Tanzania Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto)akimkabidhi baadhi ya simu kati ya 130,Balozi wa Ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell” wa hospitali ya Taifa Muhimbili, Khadija Abdallah wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya simu hizo zilizotolewa na mfuko wa kampuni hiyo wa kusaidia jamii kwa ajili ya utafiti wa utumiaji wa dawa za ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell”anayeshuhudia katikati ni mtafiti wa magonjwa ya binadamu wa muhimbili University, Dkt.Mariam Ngaeje.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa kitengo cha Vodacom Tanzania Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto)akishuhudia Balozi wa Ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell” wa hospitali ya Taifa Muhimbili, Khadija Abdallah (kulia)akimkabidhi mtafiti wa magonjwa ya binadamu wa muhimbili University, Dkt.Mariam Ngaeje(katikati)baadhi ya simu kati ya 130 zilizotolewa na mfuko wa kampuni hiyo wa kusaidia jamii kwa ajili ya utafiti wa utumiaji wa dawa za ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell”.
 Balozi wa Ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell” wa hospitali ya Taifa Muhimbili, Khadija Abdallah(kulia) Mtafiti wa magonjwa ya binadamu wa muhimbili University, Dkt.Mariam Ngaeje(katikati)wakiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani)baadhi ya simu kati ya 130 walizokabidhiwa na Mkuu wa kitengo cha Vodacom Tanzania Foundation,Renatus Rwehikiza(kushoto)zitakazotumika  kwa ajili ya utafiti wa utumiaji wa dawa za ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell”.
Mkuu wa kitengo cha Vodacom Tanzania Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto)akifungua moja ya simu kati ya 130 zilizotolewa msaada na mfuko wa kusaidia jamii wa kampuni hiyo, kwa ajili ya utafiti wa utumiaji wa dawa za ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell”.wakati wa hafla ya kuzikabidhi simu hizo iliyofanyika jijini Dar e Salaam,Katikati ni mtafiti wa magonjwa ya binadamu wa muhimbili University, Dkt.Mariam Ngaeje na Balozi wa Ugonjwa wa Selimundo”Sickle cell” wa hospitali ya Taifa Muhimbili, Khadija Abdallah.

0 comments: