Kikosikazi cha Timu ya Yanga katika Picha ya Pamoja kabla ya Mchezo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Kikosikazi cha Timu ya Al Ahly ya Misri katika Picha ya Pamoja kabla ya Mchezo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Al Ahly wakipongezana baada ya kuifunga Timu ya Yanga Bao 1-0
Al Ahly wakishangilia baada ya Timu yao kujipatia Bao 1-0
Wadau wa Timu ya Yanga wakiondolewa na Askari eneo walilokuwa wamekaa jirani na Timu ya Al Ahly ya Misri walipokuwa wakiwafanyia fujo wamisri hao
Askari wakiwajibika
Mshabiki wa Timu ya Simba akiwa na bango
Mshabiki wa Timu yaYanga aliyekuwa amevaa flana ya Njano akiondolewa eneo la washabiki wa Timu ya Simba
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga Vicent Bossou akimtoka mshambuliaji wa timu ya Al Ahly
Mshambuliaji wa Yanga, Kelvin Yondani (kulia) akikabwa na wachezaji wa timu ya Al Ahly ya Misri, katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.Kutoka kushoto ni Ahmed Fathi, Moaem Zakaria na Mohamed Hany, kulia. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: