OLE SENDEKA AKUTANA NA MAKATIBU NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA WILAYANI HAI MKOANI KILIMANJARO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 8:10 AM
Msemaji wa CCM, Chrisopher Ole Sendeka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Kilimanjaro leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta
Msemaji wa CCM, Chrisopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu wa CCM wilaya ya Hai, Katibu Allan Kingazi, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Kilimanjaro leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili Ofisi ya CCM wilaya ya Hai, leo
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: