KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 7:19 AM
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko Bw. Ibrahim Mussa (kulia) akiongea na Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo (kati) na Mhifadhi wa Idara ya Ulinzi Bw. Haima Hera muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa ziara fupi hifadhini hapo.
Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo akitoa maelezo mafupi kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kabla ya kuanza kwa ziara fupi katika Hifadhi ya Arusha.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ndani ya basi dogo wakiangalia wanyama aina ya nyati wanaopatikana katika Hifadhi ya Arusha.
Twiga watatu wakionesha mbwembwe zao mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani (kushoto),Mhe. Joseph Kasheku ‘Msukuma’, Mhe. Kemilembe Julius na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Ibrahim Mussa katika picha ya pamoja.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii walipowasili Hifadhi ya Taifa ya Arush
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani akiongea na watumishi wa Hifadhi ya Arusha mara baada ya kumalizika kwa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: