Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
akizungumza na wasanii wa Muziki wa Dansi alipokutana nao jana jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza akizungumza
wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (wa pili kushoto) na wasanii wa muziki wa Dansi nchini
jana jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania (CHAMUDATA) Juma Ubao
akizungumza wakati wa mkutano baina ya wasanii wa muziki wa Dansi na
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
(katikati) jana jijini Dar es Salaam.
Mdau
wa Muziki wa Dansi nchini Asha Baraka akichangia mada wakati wa mkutano
baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape
Nnauye (hayupo pichani) na wasanii wa muziki wa Dansi jana jijini Dar es
Salaam.
Mdau
wa Muziki wa Dansi nchini ambaye pia ni raia wa Italia Maria
akichangia mada wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (hayupo pichani) na wasanii wa
muziki wa Dansi jana jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki
mkongwe wa Muziki wa Dansi nchini Komandoo Hamza Kalala akichangia mada
wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Nape Moses (hayupo pichani) na wasanii wa muziki wa
Dansi jana jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki
wa Dansi nchini, Muumini Mwijuma akichangia mada wakati wa mkutano baina
ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
(hayupo pichani) na wasanii wa muziki wa Dansi jana jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akipokea
CD yenye nyimbo ya kumsifu Mwl. Nyerere kutoka kwa mwanamuziki nguli
Mzee Makassy (mwenye kofia). Katikati ni Katibu Mkuu wa CHAMUDATA Hassan
Msumari.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akipokea
zawadi ya CD yenye nyimbo za Bendi ya Twanga Pepeta kutoka kwa mmiliki
wa Bendi hiyo Asha Baraka mara baada ya kumalizika kwa mkutano
baina ya Waziri na wasanii wa muziki wa Dansi nchini jana jijini Dar es
Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: