Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar,(Picha na Ikulu)
Mwanasheria Mkuu, Said, akipitia kiapo kabla ya kuapa Ikulu ya Zanzibar
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, Ibrahim na Mzee na
Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar George Kazi ni miongoni mwa Viongozi
waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said
Hassan Said leo Ikulu Mjini Unguja
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdalla Mwinyi Khamis na Mstahiki
Meya wa Zanzibar Khatib
Abrahman Khatib ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya
kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said akiwa katika ukumbi wa
mikutamo Ikulu Mjini Unguja na Jaji wa Mahakama Kuu ya
Zanzibar, Mshibe Ali Bakari kabla ya kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
Viongozi mbali mbali na watendaji waliohudhuria katika hafla ya
kuapishwa Said Hassan Said kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Mwnasheria Mkuu wa Zanzibar, Said Hassan Said
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. ALi Mohamed
Shein akiwa katika picha na Said Hassan Said Mwanasheria Mkuu wa
Zanzibar na familia yake baada ya kumuapisha rasmi leo katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: