Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
6:42 AM
Rais
wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiitoa
silaha yake
aina Bastola kwa ajili ya uhakiki Ikulu jijini Dar es Salaam Machi 21,
2016akitekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda,
alilolitoa
hivi karibuni kuwataka wale wote wanaomiliki silaha kuzihakiki mara
moja.Rais
amekuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kutekeleza agizo hilo wewe je??.
Kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna wa
Polisi Simon Siro.(Picha na
Ikulu).
Rais akikabidhi silaha yake kwa Kamanda Siro ili ihakikiwe
Rais akionyesha silaha yake tayari kufanyiwa uhakiki
Mkaguzi Msaidizi
wa Polisi Neema Laizer (kulia) akiendelea na zoezi la kuhakiki Silaha za Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka vizuri
silaha yake aina ya Shortgun mara baada ya uhakiki uliofanyika Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka vizuri silaha yake aina ya Shortgun mara baada ya uhakiki
uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, tayari kwa kuhakikiwa
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara
baada ya kumaliza zoezi la kuhakiki silaha zake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa Rais amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha kujitokeza kuhakiki
silaha zao kama alivyoagiza Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam Paul Makonda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: