MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA NJOMBE, SARAH DUMBA, KIGAMBONI DAR ES SALAAM
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:42 AM
Waziri katika Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene akizungumza kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Sarah Dumba katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Magogoni Kigamboni Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya Longido Mkoa wa Arusha, Ernest Kahindi, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Sarah Dumba
Mwili wa Sarah Dumba ukiingizwa kanisani
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema (wa kwanza kushoto) akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Sarah Dumba, anayefuata ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dk. Rehema Nchimbi na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Betty Mkwassa
Baba mzazi wa marehemu Sarah Dumba, Mzee Philip Dumba akitoa heshima za mwisho kwa mwanaye.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: