LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA URAIS LEO MAKAO MAKUU YA CHADEMA


Makamu Mwenyekiti akipokea fomu kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu na aliiyekuwa mbunge wa Monduli kwa tikeki ya CCM Mh. Edward Lowassa

Mwanasheria wa Chama Mh Mabere Marando akikagua fomu za mgombea urais Mh. Edward Lowassa mara baada tu ya kukabidhi kwa Makamu Mwenyekiti Bara Prof Abdalah Safari

Naibu Katibu Mkuu Zanznibar Mh Salum Mwalim akimkaribisha Edward Lowassa katika ofisi ya Makamu Mwenyekiti Bara Prof Abdalah Safari
Baadhi ya wabunge walioweza kufika katika tukio la kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha fomu Makao Makuu
Ester Bulaya akiwa ukumbini kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama

0 comments: