Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya, Zuwena Mohammed 'Sholole' amesema kuwa matumizi ya kondom wakati wa mahaba hayaleti ladha ndio maana alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake Nuh Mziwanda ili wasiwe wanatumia kondom.
SHILOLE 'SHISHY BABY' AKIRI KUTOTUMIA KONDOM KWENYE MAPENZI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:29 AMMwigizaji wa filamu na mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya, Zuwena Mohammed 'Sholole' amesema kuwa matumizi ya kondom wakati wa mahaba hayaleti ladha ndio maana alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake Nuh Mziwanda ili wasiwe wanatumia kondom.
Akizungumza
na Mpekuzi wetu, Shilole alisema kuwa raha ya mapenzi ni kila
mmoja kuwa na mwenzake bila kuwa na kizuizi chenya kuondoa
ladha hiyo na baada ya kupima kila mmoja ameapa kutochepuka
ili asilite maambukizi ndani ya uhusiano wao....
"Asikudanganye
mtu, raha ya kula ndizi ni kula ikiwa imemenywa, ikiwa na
maganda inaondoa utamu ndio maaa mimi na
mwenzangu tulilazimika kwenda kupima afya zetu na kila mmoja
alibainika ni mzima hivyo tumeahidiana kutosalitiana ili
tusileteane maambukizi",alisea Shilole.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: