Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
12:42 AM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Waziri wa Mambo ya nje ya nchi wa Seychels
Jeun-Paul Adam baada ya Waziri huyo kutoa hotuba yake katika Uzinduzi wa
Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani
namabadiliko tabianchi jana katika Orator Hotel,Apia Samoa[Picha na
Ramadhan Othman,Samoa.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akitoa hutuba yake katika Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya
Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi
jana katika Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.],[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi
Fatma Abdulhabib Fereji,pamoja na viongozi wengine wakiwa katika
Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za
Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika Orator Hotel,Apia
Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa
unaendelea.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.] Baadhi ya washiriki katika uzinduzi wa Mpango
wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na
mabadiliko tabianchi jana katika Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano
wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea wakifuatilia kwa
makini hutuba mbali mbali zilizotolea na Viongozi kutoka Nchi
tofauti,(kushoto) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaifa
Mahadhi Juma Maalim.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati)akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa
Rais Bibi Fatma Abdulhabib Fereji, katika Uzinduzi wa Mpango wa
Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na
mabadiliko tabianchi jana katika Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano
wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea katika nchi
hiyo.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: