Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
9:50 AM
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Kibiashara cha
Kimataifa Internationali Trade Center ICT Bibi Arancha Gonzalez
walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa
Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano
wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kibiashara
cha Kimataifa International Trade Center,ICT Bibi Arancha Gonzalez akiwa
na ujumbe wake jana katika jingo la mkutano wa Tatu wa kimataifa wa
nchi za Visiwa.
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa makumbusho ya Taifa nchini
Samoa Mainifo Viliamu,alipotembelea jana akiwa na ujumbe aliofuatana
nao akiwa ziarani huko katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za
Visiwa.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na ujumbe wake wakipewa maelezo jana wakati walipotembelea Makumusho ya
Taifa la nchi ya Samoa na msimamizi wa makumbusho hiyo Mainifo
Viliamu.[Picha na ramadhan Othman,Samoa.] Baadhi
ya mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali katika mkutano wa Tatu
wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa ,mkutano huo wa siku nne unaendelea
katika nchi ya Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samaoa.] Baadhi
ya mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali katika mkutano wa Tatu
wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa ,mkutano huo wa siku nne unaendelea
katika nchi ya Samoa.[Picha na Ramadhan Othman,Samaoa.]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: