MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA SAMUEL SITTA AWATOA HOFU WASANII KUHUSU HAKI MILIKI
Mweyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiwahutubia wasanii
pamoja na waandishi wa habari waliohudhuria mkutano leo katika kumbi za
mikutano bungeni mjini Dodoma.
Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassan akito
maneno ya shukuurani kwa wasanii wakati walipofanya mkutano na Mweyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta mkutano leo katika moja ya kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.
Viongozi
wa msafara walifuatana na wasanii 25 wakimsikiliza Makamamu Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassani wakati
walipohudhuria mkutano leo katika moja ya kumbi za mikutano bungeni
mjini Dodoma.
Baadhi
ya wasanii na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini maelezo
kutoka kwa Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta wakati
walipohudhuria mkutano leo katika moja ya kumbi za mikutano bungeni
mjini Dodoma.
Rais
wa Shirikisho la Filamu Tanzani (TAF) Bw. Simon Mwakifamba (kushoto)
akimkabidhi Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta
ripoti ya wasanii yenye mapendekezo mbalimbali kuhususiana na Katiba
mpya wakati wa mkutano leo katika moja ya kumbi za mikutano bungeni
mjini Dodoma.
Mweyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (aliyekaa katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wasanii walifika Bungeni mjini
Dodoma kwa ajili kuwasilisha mapendekezo yao kwajili ya Katiba mpya.
Kushoto kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia
Suluhu Hassan.(Picha na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma).
0 comments: