MSIKITI WA MTAMBANI ULIVYO TEKETE KWA MOTO DAR ES SALAAM JANA .

  Msikiti wa Mtambani ulivyo teketea kwa moto  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa Blog ya www.ujijirahaa.blogspot.com
ikifunguka ,funguwa yenye herufi kubwa(UJIJIRAHAA)
 Waumini wa Msikiti huo  wakiwa wanafunga mpira kwenyemoja ya kisima cha msikiti baada ya Gari la Uokoaji kuishiwa Maji 
 Moja ya Madarasa yakiteketea kwa Moto
 Askari akiomba apate ushirikiano kutoka kwa  waumini hao kujipanga kwa Ulinzi . 
 Waumini wa Dini hiyo wakiwa na mshangao.
 Waumini wa Dini hiyo wakiwa na mshangao.
 Naibu Katibu Shura ya Maimanu ,Juma Ramadhani Juma, akiongea na Mwandishi wa Habari.
 Waumini wa Dini hiyo wakipokezana ndoo za Maji  kwa jitihada z kuuzima Moto huo.
 Waumini wakipokezana ndoo za  Maji wakiweka kwenye Gari la Zimamoto mara baada ya Maji  kuishiwa

 Waumini wakisaidiana kunyanyua  ndoo kubwa  ya Maji wakiweka kwenye Gari la Zimamoto mara baada ya Maji  kuishiwa.
 Waumini wakisaidiana kuinuwa  ndoo ya  Maji kubwa, wakiweka kwenye Gari la Zimamoto mara baada ya Maji  kuishiwa

 

0 comments: