Majaji wakiushusha mwili toka kwenye gari ,wakielekea eneo lililoandaliwa kwa mazishi.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa Blog ya UJIJIRAHAA.
Majaji pamoja na waombolezaji wakiuweka mwili wa marehemu jaji sehemu maalum wakisubiri taratibu za Mazishi baada ya kuushusha toka kwenye Gari.
Wanafamilia wakiangalia kinacho endelea
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete (wa tatu kushoto), akisimama pamoja na viongozi mbalimbali mara mwili wa marehemu jaji Makame ukiwasili Makaburini kwa Mazishi jana kijijini kwake Tongwe, wilayani Muheza,Tanga, wa tatu kulia ni Luteni Mstaafu na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa , wakwanza kushoto ni Jaji Francis Mutungi na wakwanza ni kulia ni Mjane wa marehemu, Lewis Makame, Mary Makame.
Wanakijiji wa Tongwe na vijiji jirani wajitokeza kumzika Jaji Makame
Wana Familia
Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othmani , akijadili jambo na Padri Augustino Ramadhani ambaye ni Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, kijijini Tongwe katika mazishi ya marehemu jaji makame.
Majaji
Majaji pamoja na waombolezaji wakiwa wanafatilia mambo yaliokua yanaendelea wakati wa Mazishi ya Marehemu Makame
Hapa ndipo Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame amezikwa kijijini kwake Tongwe, wilayani Muheza,Tanga.
Makaburini
Askari wa kikosi cha FFU, wakishirikiana na wana familia na waombolezaji kuuweka mwili juu ya kaburi
Askari wa kikosi cha FFU ,wakishirikiana na wana familia pamoja na waombolezaji kuushusha mwiki kwa mazishi.
Askari wa kikosi cha FFU ,wakishirikiana na wana familia pamoja na waombolezaji kuushusha mwiki kwa mazishi.
Mjane wa marehemu, Lewis Makame, Mary Makame akiweka udongo,
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka ,udongo kwenye kaburi la Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame jana katika jiji cha Tongwe Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othmani, akiweka udongo kwenye kaburi la Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame jana katika jiji cha
Tongwe Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga.
Wana familia wakiwekw udongo
Padri Augustino Ramadhani ambaye ni Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, akiweka udongo kwenye kaburi la Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame.
Majiji wajiweka udongo
Masheikhe wakimuombea Duwa Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame.
Wana familia
wana familia
wana familia
wana familia
wana familia
wana familia
wana familia
Mapadri mbalimabali na wengine toka Dr, wakiweka udongo kwenye kaburi lenye mwili wa Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame jana katika jiji cha
Tongwe Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga. .
Wananchi
Luteni Mstaafu na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa, akitowa salam za wananchi wa Tanga
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete , akisalimia na akitowa salam toka kawa Rais Kikwete
Mjane wa marehemu, Lewis Makame, Mary Makame,akiweka shada la Mauwa kwenye kaburi la mume wake na kushoto ni Gladis Makame Mhina
Mama Salma Kikwete akiweka shada la Mauwa kwenye kaburi la Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame jana katika kijiji cha Tongwe Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga
|
Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othmani ,akiweka taji la Mauwa kwenye kaburi la Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame jana katika kijiji cha Tongwe Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga. |
Jaji Francis Mutungi ,akiweka shada la
Mauwa kwenye kaburi la Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame jana katika kijiji cha Tongwe
Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga.
Padri Augustino Ramadhani ambaye ni Jaji Mkuu mstaafu wa
Tanzania, akiweka shada la mauwa kwenye kaburi la Mwenyekiti wa zamani wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame kushoto ni mke wake.
Waju kuu wakiweka shada la mauwa
Wasanii wa Bongo Freva wa kijijini hapo wakiweka shada la mauwa kwa kuwakilisha wasanii wote popote walipo.
Askari wa kikosi cha FFU,wakivyatua risasi baridi hewani kwa taratibu za kijeshi ,kupiga risasi tatu hewani.
Wana familia wakiweka mataji
Wanafamilia
wanafamilia wakifanya maombi wakiongozwa na mama,wapili kushoto
0 comments: