MHE. PINDA AWASILI MWANZA KUFUNGA MAONESHO YA NANENANE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Erasto Zambi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza August 7, 2014 ambako August 8,2014 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha sherehe za wakulima Nanenane jijini Mwanza . Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo na kulia ni mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments: