Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
8:02 AM
Finland ni miongoni mwa nchi zenye maeneo makubwa ya misitu ya
kupandwa dunaini, zaidi ya asilimia 80 ya eneo la nchi hiyo ni misitu
na wenyewe wanasema nyumba zinazojengwa kwa kutumia mbao zina gharama
nafuu kuliko kujenga kwa matofali au mawe.
Viongozi kutoka majiji sita ya Tanzania
wakiwa kando kando ya ziwa Maji ambako mkondo wa maji machafu kutoka
majumbani huingia ziwani baada ya kuchujwa, viongozi hawa kutoka kushoto
ni Stanslaus Mabula ambaye ni Meya wa jiji la Mwanza, Athanas Kapunga
ambae ni meya wa jiji la Mbeya, Mussa Zungiza,mkurugenzi mtendaji wa
jiji la Mbeya na Philoteus Mbogoro ambae ni mratibu wa mtandao wa majiji
Tanzania TACIN
na fredy mgunda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: