MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ)

  Semu ya Wanajeshi wakiwa wanasikiliza kwa makini Mgeni Rasmi,(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA BILALI) Mmiliki wa (www.ujijirahaa.blogspot.com) ikifunguka funguwa yenye herufi kubwa(UJIJIRAHAA).


  Mwenge Jazz Paselepa, nibendi ya Jeshi hilo ,ikitoa Burudani katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. 
 Mwenge Jazz Paselepa, nibendi ya Jeshi hilo ,ikitoa Burudani katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.(kulia) ni Shukuru Majaliwa.
 Janenth Mmary , toka makao makuu ya Jeshi la wananchi makao makuu ya Jeshi Upanga, akimtoa Damu Omary Haibu , kwa ajili ya kupima kipimo cha(Hiv) leo katika viwanja vya mnazi Mmoja .
 Mshauri nasaha Sister Mary Lyimo , akimpima Plesha (BP) Sagent George John Mjema ,leo katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Jeshi la wananchi Tanzania katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo.




 Naibu Mkurugenzi wa Magonjwa yasiyo ambukiza Dr, Ayub Magimba akiongea na Wananchi pamoja na Wanajeshi hao leo katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Jeshi la wananchi Tanzania katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
 Picha ya Pamoja
 Picha ya Pamoja Viongozi Mbalimbali
  Naibu Mkurugenzi Dr, Ayub Magimba akizinduwa  Tiba ya bure kwa wananchi itakayotolewa na Jeshi la Wananchi Tanzania leo kwa siku 3 katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Jeshi la wananchi Tanzania katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
 Naibu Mkurugenzi Dr, Ayub Magimba, akisalimiana na Mej ,Afisa Muhamasishaji wa Kitengo cha Damu Salama, Cleopatra Callistus.

0 comments: