Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
7:44 AM
Leo Agosti 26 ni siku ya kuzaliwa ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge
wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Ngoyai Lowassa aliezaliwa tarehe kama ya leo
miaka 61 iliyopita.Mh. Lowassa anayo furaha kubwa kuisherehekea siku hii muhimu
kwake na kwa familia kwa ujumla.Globu ya Jamii na timu yake inamtakiwa Heri ya
siku ya kuzaliwa kwake.
Mh. Lowassa akiwa shambani kwake wakati alipotembelea kuangalia
maendeleo ya mifugo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: