BIN KLEB AREJESHWA YANGA SC, WAMO NITIMIZI NA MAYAY

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAJUMBE Wenza wa Kamati ya Utendaji ya YANGA (Maendelo ya Michezo), Ndugu Seif Ahmed na Engineer Isaac Chanji, wanapenda kutoa taarifa kupitia vyombo vya habari kwa wanaYANGA, wameunda Kamati ndogo chini ya Kamati ya Utendaji ya YANGA zifuatazo:
Bin Kleb amerejeshwa kwenye Kamati ya Mashindano Yanga SC kama Mjumbe

1) KAMATI YA UFUNDI
Wajumbe:
 1)  Duduma, Nassoro
 2)  Lamlembe, Roger
 3)  Malulu, Pascal 
 4)  Msolla, Peter
 5)  Zangira, Steve

2) KAMATI YA SOKA YA VIJANA NA WANAWAKE
Wajumbe:
1) Katwila, Shaban
2) Kabisa, Jessica (Advocate)
3) Mazwile, Isack
4) Mwita, George
5) Tembele, Ally Mayay

3) KAMATI YA MASHINDANO 
Wajumbe:
1)  Cheyo, Magembe      
2)  Didi, Ibrahim                  
3)  Hussein, Ndama Risasi      
4)  Katabalo, Moses             
5)  Katunzi, Mudhamiri        
6)  Kihanga, Pascal 
7)  Kingo, Ray Shauri
8)  Kleb, Abdallah Bin
9)  Luhago, David
10) Lukumay, Samwel
11) Macha, Innocent 
12) Maige, Jackson 
13) Mahende, Mugaya   
14) Makay, Sule       
15) Malebo, Michael  
16) Malume, Paul 
17) Matata 
18) Mbise, Anandumi Timothy 
19) Mlangwa, David 
20)  Mogha, John  
21) Mutaboyerwa, Joseph John
22) Ntimizi, Said
23) Nyambaya, Lameck
24) Nyika, Hussein
25) Nyumbamkaly,
26) Ramadhan, Fulgence 
27) Rashid, Ahmed    
28) Suleman, Majid    
29) Tenga, Frank  
30) Tindwa, Beda
31) Zakaria, Dr.      
   
Ifahamikekwamba, kutakuwa na nyongeza ya uteuzi wa Wajumbe wengine wa Kamatiza YANGA zilizotajwa hapo juu.
Ndugu Seif Ahmed na Engineer Isaac Chanji Wajumbe Wenza wa Kamati ya Utendaji ya YANGA (Maendelo ya Michezo) watakuwa Wenyekiti Wenza wa Kamati zilizotajwa hapo juu.
Kamati ya Utendaji ya YANGA, ina karibisha Wajumbe waliotajwa katika Kamati zilizotajwa hapo juu kwa dhamira njema kuwa watasaidia kujenga YANGA bora, na wanaomba ushirikiano kutoka kwa wanaYanga wote ili Wajumbe walioteuliwa waweze ketenda kazi zao vyema kwa manufaa ya YANGA.
(YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO)
(BENO NJOVU)
KATIBU MKUU WA YANGA

0 comments: