WANAFUNZI WA CHUO CHA CILOS WATEMBELEA HIFADHI YA WANYAMA SAADANI MKOA WA TANGA

 Mwalim wa wanafunzi wa chuo cha Cilos wa Lugha za Kimataifa  Wamala Wamala,(wakatikati) akiwaelekeza jambo wanafunzi wa chuo hicho mara walipofika katika kujifunza mambo Mbalimbali ya Utaliikatika Hifadhi ya mbuga za wanyama Saadani Mkoa wa Tanga mwishoni mwa wiki.
  1.  Mwalim wa wanafunzi wa chuo cha Cilos wa Lugha za Kimataifa  Wamala Wamala,(wakwanza kulia) akiwaelekeza jambo wanafunzi wa chuo hicho mara walipofika katika kujifunza mambo Mbalimbali ya Utaliikatika Hifadhi ya mbuga za wanyama Saadani Mkoa wa Tanga mwishoni mwa wiki
 Mwenyekiti wa msafara wa wanafunzi wa Chuo cha Cilos wa Lugha za Kimataifa Lucas Chacha,(wakwanza kulia) akiwaelekeza jambo wanafunzi wa chuo hicho mara walipofika katika kujifunza mambo Mbalimbali ya Utalii katika Hifadhi ya mbuga za wanyama Saadani Mkoa wa Tanga mwishoni mwa wiki.

Wanafunzi wa chuo cha Cilos,wakiangalia Makaburi ya Wajerumani walioigia 1852 katika  Hifadhi ya Saadani Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki. 

0 comments: