MONSINYORI DEOGRATIUS MBIKU AMEWAKOMUNISHA WATOTO 114 NA KUZINDUA NYUMBA YA MAPADRI DAR ES SALAAM JANA .
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:30 AM
Paroko wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Chuo Kikuu, Monsinyori Mbiku, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la Mapadri Dar es Salaam juzi katika Kanisa la Teresia wa Mtoto Yesu, akimwakilisha Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, ambapo watoto 114 walikomunika kwa mara ya kwanza okatika ibada hiyo
Monsinyori Mbiku akifunua pazia kwa ishara ya uzinduzi wa jengo la Mapadri Kanisa la Teresia wa Mtoto Yesu, Dar es Salaam juzi, akimwakilisha Askofu Mkuu wa jimbo la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, ambapo watoto 114 walikomunika katika ibada hiyo, kulia kwake ni Paroko wa kanisa la Teresia Mtoto Yesu, Renatus Payovela
Monsinyori Mbiku,akifunua pazia kwa ishara ya uzinduzi wa jengo la Mapadri kanisa la Teresia Mtoto wa Yesu Dar es Salaam juzi,akimwakilisha Askofu Mkuu wa jimbo la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo,ambapo watoto 114 walikomunika katika ibada hiyo,kulia kwake ni Paroko wa kanisa la Teresia wa Mtoto Yesu, Renatus Payovela
Monsinyori Mbiku,akifungua mlango wa nyumba baada ya uzinduzi wa jengo la Mapadri Dar es Salaam juzi,akimwakilisha Askofu Mkuu wa jimbo la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo,ambapo watoto 114 walikomunika katika ibada hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: