Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
4:58 AM
Leo tutakuletea mwendelezo wa ukatili kwa kina, aliyokuwa akiupata binti Yusta kwa mwajiri wake kung'atwa mwili mzima..
Yusta
amepata mateso makali sana kwa miaka minne mfululizo na kuambulia
madhara makubwa sana kwenye mwili wake ambao umepoteza unadhifu kutokana
na majeraha meeeengiiiii sana..
Bi,Modesta Saimon ni mama mzazi wa Yusta akielezea jinsi alivyo
umizwa na tukio. Ni dhahiri shairi kwamba mama huyu amebeba maumivu ya
wakina mama wanaotuma watoto wao kuja kufanya kazi na kuambulia mateso
yasiyoelezeka.
Cha kusikitisha Yusta amefanyiwa unyama huo na Mwanamke! Mama! Msomi! Anajulikana kwa jina la Amina Maige...
Huyo ndo mwanamke aliyefanya Unyama huo Amina Maige. Kina mama jamani tuache roho mbaya.. huyu mama ana mtoto wake wa kike....
Mtoto wa mwenzio umtafune namna hii kweli???
Ulemavu huu wa makusudi jamani kwa Mungu tutajibu nini?????? Ee Mungu turehemu..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: