DAKTARI BINGWA TAASISI YA MIFUPA MOI AWA MKURUGENZI MPYA WA TAASISI HIYO.

Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na Upasuwaji wa Ubongo Moi, Dr Othman Kiloloma, Akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi hiyo Dar es Salaam leo mara Baada ya kuteuliwa mwishoni mwa wiki.(PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com -(FUNGUWA UKURASA WA UJIJI RAHAA).
Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi Flora Kimaro (wapili kushoto) akiwa na wafanyakazi wengine wakimsikiliza kwa makini mara mkurugenzi Mpya wa Taasisi ya Mifupa na  upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya fahamu, Dk Othman Lilolom, alipo kuwa akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi hiyo Dar es Salaam leo
sehemu ya madaktari na wafanyakazi wengine wa Taasisi hiyo  wakimsikikiza kwa makini Mkurugenzi Mpya wa Taasisi hiyo
Profesa Kahamba, akiwa na Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Mifupa Moi,wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji Mpya Dr, Othman Kiloloma, mara alipokua akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi hiyo Dar es Salaam leo.
Madaktari
Madaktari wa Mazoezi ya Viungo
Madaktari Bingwa na Madaktari wa Mazoezi pamoja


Daktari, bingwa wa Taasisi ya Mifupa Moi ,Nungu ,(kushoto) akimpongeza Mkurugenzi mpya  .


Meneja  Uhusiano wa Taasisi ya Mifupa Moi, Almasi Jumaa ,(kulia ) akifatilia kwa makini mazungumzo ya Mkurugenzi Mpya wa Taasisi ya Mifupa Moi,akiwa nawafanyakazi wengine wa Taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dr, Cuthbert Mcharo(kulia) ,akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa Moi mara baada ya Mkurugenzi Mpya Kuongea Dr, Othman Kiloloma
Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala,John Masondore,(wapili kulia) ,akifafanuwa jambo mara Mkurugenzi Mtendaji  Mpya wa Taasisi ya Mifupa Moi alipo kua akizungumza na wafanyakazi hao.

Wauguzi

Wauguzi Mbalimbali






0 comments: