MBUNGE WA TEMEKE CCM ABBAS MTEMVU AKIKAGUA MADHARA YA MOTO SOKO LA KEKO LEO, ATOA POLE

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akiingia eneo lililopata madhara
kutokana na kuungua moto usiku wa kuamkia leo, katika soko la Keko,
katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam. Mtemvu amewapa pole walipoteza
mali zao kutokana na moto huo ambao chanzo cha ke hakijajulikana. Hadi
inakisiwa imepatikana hasara ya zaidi ya sh. milioni 97.

Naibu Katibu wa soko la Keko, Hassan Gitigi (kushoto) akimpa maelezo
Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu kuhusu madhara yaliyosababishwa na moto
huo
Ads by OffersWizardAd Options

Mtemvu akizungumza na baadhi ya viongozi waliofika kutoa pole kwa walipatwa na madhara kwenye soko hilo.

Mtemvu akizungumza na waliopatwa na madhara kuhtokana na moto huo
Ads by OffersWizardAd Options

Baadhi ya wafanyabiashara katrika soko hilo akieleza hasara walizopata.
Wameeleza kwamba mbali na waliopata hasara ya kuunguliwa bidhaa na
mabanda yaop ya biashara, pia wapo waliopata hasara kwa maduka na
mabanda yaop ya biashara kuporwa na vibaka wakati wa tukio hilo la
moto.Picha zote na Bashir Nkoromo
CHANZO :HAKI NGOWI.
No comments:
Post a Comment