Geoffrey
Nyange 'Kaburu' ameshinda Umakamu wa Rais Simba SC baada ya kupata kura
1043 akimshinda mpinzani wake wa karibu Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio'
aliyepata kura 413 na Swedi Nkwabi kura 300. Hata hivyo, hizo ni taarifa
za awali, matokeo kamili yatatangazwa na Kamati ya Uchaguzi baadaye. |
No comments:
Post a Comment