UJIJI RAHAA
(Move to ...)
Ujijirahaa-Kimataifa
Home
Ujijirahaa Matukio katika Picha
▼
Monday, June 23, 2014
DKT BILAL AZINDUA MTAMBO WA MAJI TAKA WA KIWANDA CHA SERENGETI CHA MWANZA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akikatautepe kuzindua mtambo wa Maji taka ya kiwanda cha Serengeti cha Mjini Mwanza kulia Mwenyekiti wa Bodi Nehemiah Mchechu kushoto Mkurugenzi Mtendaji Bw Steve Gannon.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akifungua kipazia kuzindua Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha Mjijini mwanza kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cha Serengeti.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipata maelezo kwa Inspekta wa Mazingira Bi Anna Mangara juu ya maji yaliyosafishwa kwenye Mtambo wakusafishia Maji taka kwenye kiwanda cha serengeti cha mjini mwanza.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeticha mjini Mwanza.(Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib bilal wakizungumza jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwanda cha Serengeti cha Mwanza Bw Nehemia Mchechu wakati wa Uzinduzi wa mtambo wa kusafishia Maji taka ya kiwanda cha aserengeti cha jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Tanzania
Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kike wa Kiwanda cha Serengeti cha Jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment