UJIJI RAHAA

▼

Monday, June 23, 2014


RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAGENI KUTOKA CHINA NA OMAN LEO

 
 
c2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014 c3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China baada ya kukutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014 o1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Saoud Ali Mohamed Al Ruqaishi, Balozi wa Oman hapa nchini na Mjumbe Maalum wa Sultan Qaboos Bin Said wa Oman ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014
o2 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe kutoka kwa Mhe Saoud Ali Mohamed Al Ruqaishi, Balozi wa Oman gapa nchini na Mjumbe Maalum wa Sultan Qaboos Bin Said wa Oman ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014
khamisimussa77@gmail.com at 7:23 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

khamisimussa77@gmail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.