Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
6:12 AM
MAKAMO
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Idd, akimkadhi hundi
ya shilingi Milioni 2,500,000, kiongozi wa kikundi cha Tudumishe amani
Cha Makangale, mara baada ya kuzinduwa rasmi mfuko wa Uwezeshaji
wananchi, Huko Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
MAKAMO
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Idd, akimkadhi hundi
ya shilingi Milioni 1,500,000, kiongozi wa kikundi cha Walemavu Matele
Chake Chake, mara baada ya kuizindua Rasmi Mfuko wa Uwezeshaji,huko
Micheweni Mkao wa kaskazini Pemba(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Ads by OffersWizardAd Options
MAKAMO
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akimkabidhi
vifaa vya Mwanani vyenye thamani ya shilingi Milioni 3,000,000, mmoja
kati ya wakulima wa mwani, ambaye jina lake
halikupatikana,
ikiwa ni ahadi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk Ali Mohamed Shein(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO
wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mhe:Balozi Sie Ali Iddi, akiangalia moja ya
vielelezo vya serikali, vinavyonyesha kuwa eneo la soka la Wete ni mali
ya serikali, wakati alipokwenda kusikiliza mzozo wa eneo hilo, baada ya
kujitokeza kwa mfanya biashara Ahemed Abdalla (Mapete),
kudai kuwa eneo hilo ni mali yake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Ads by OffersWizardAd Options
MAKAMO
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akitoa tamko la
serikali, mbele ya viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba na
Mfanya Biashara Ahemd Abdalla (Mapete) mwenye kanzu, anaedai kumiliki
eneo la soko la Wete, ene ambalo ni mali ya serikali. (Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: