MWENYEKITI NA KATIBU WA JIMBO LA TEMEKE WACHAGULIWA LEO

 

 Mwenyekiti wa  Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Yombo Vituka, Mnamala Ibrahim (kulia) akipongezwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mjumbe wa NEC, Abbas Mtemvu, baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jimbo la Temeke, na kupata kura zote za ndio Dar es Salaam,(PICHA NA MDAU WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
KHAMISI MUSSA)  
 Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu Jimbo la Temeke kabla ya kufanya uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Jimbo hilo jana kwenye Ukumbi wa CCM Kata ya 15 Temeke, Dar es Salaam leo.
 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Sikunjema Shaban. Kushoto ni Mtemvu.
 Alhad Mussa akihutubia wakati wa mkutano huo


 Katibu wa Mbunge wa Temeke, Ally (katikati) akiwa miongoni mwa wafuasi wa CCM waliohudhuria mkutano huo wa uchaguzi
 Mwenyekiti wa CCM Temeke, akifungua mkutano huo wa uchaguzi
  Salum Ndende akiwagawia wajumbe karatasi za kura  tayari kupiga kura ya kuwachagua Mwenyekiti na Katibu a Jimbo la Temeke
 Wajumbe wakipiga kura
 Mtemvu akipiga kura
Waskiwa katika picha ya pamoja baada ya uchaguzi

0 comments: