Baada ya Mvua kunyesha,Maji yametwama katika Barabara ya Uhuru mbele ya Akiba Commercial Bank B
Magari ya kipishana kwa shida kutokana na Mvua zinazo edelea kunyesha Dar
Magari yakipishana kwa shida Barabara ya Uhuru mbele ya Barabara ya Uhuru mbele ya Akiba Commercial Bank
Ni gari likipita kwa shida Kufuatia Mvua zinazoendelea Kunyesha Jijini Dar
Vijana ambao hufanya Mazoezi siku za IjumaMosi na Ijumapili ( Joging)walimkuta kijana ambaye hua akicheza shule ya Uhuru walifika eneo hilo walimzonga kijana huyo awali alikua mkali baabae akajumuika nao kwa kucheza na vaijana hao

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: