JESHI LA POLISI VISIWANI ZANZIBAR LAKAMATA JAHAZI LENYE MABAHARIA 14.
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:50 AM
Jeshi la Polisi visiwani Zanziar ,limekamata Jahazi lililokua na mabaharia 14 Wote raia wa India baada ya kulitilia shaka .Jahazi hilo limekamatwa likiwa katikati ya Tanzania bara na Zanzibar na limepelekwa Dsm kwa uchunguzi zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: